Duniani Leo April 30, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Mapigano makali yanaendelea katika vitongoji vya mji mkuu wa Libya wa Tripoli kati ya wanajeshi wa serikali ya kitaifa na watiifu wa jenerali Khalifa Haftar. Mkutano wa tatu kati ya viongozi na wa maandamano na wanajeshi wa limeshindwa kufikia makubaliano.