Kimbunga cha Kenneth iliwapita wakaazi wa Mkoa wa Mtwara, Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Nchini Tanzania, katika Mkoa wa Mtwara wakaazi wamerejelea hali yao ya kawaida baada ya hofu kufuatia utabiri kwamba kimbunga kilichopewa jina Kenneth kingepiga pwani ya kusini mwa Tanzania.