Kundi la wanamgambo la ISIS ladai kuhusika mabomu ya Sri Lanka

Your browser doesn’t support HTML5

Kundi la wanamgambo wa kiislamu wenye itikadi kali la Islamic State limedai kuhusika na ulipuaji wa mabumu nchini Sir Lanka.