Soko la hisa Kenya labuni mbinu mpya kusaidia kampuni changa

Your browser doesn’t support HTML5

Soko la hisa la Nairobi NSE nchini Kenya limebuni mradi maalumu ili kusaidia kuandaa kampuni changa kuorotheshwa kwenye soko hilo.