Duniani Leo April 22, 2019
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Sri Lanka atangaza hali ya dharura kufuatia mashambulizi ya mabomu ya kujitoa mhanga huku ikiomba radhi familia za waathiriwa . Watu 290 wameuawa katika shambulio hilo na zaidi ya 500 wamejeruhiwa. Na mauaji ya wanawake yaendela kuwa tatizo nchini Kenya.