Iran yaonyesha ndege zake za kivita zilizotengenezwa nchini humo

Your browser doesn’t support HTML5

Iran imeadhimisha siku ya kifaifa ya majeshi kwa gwaride kubwa la kijeshi kwa kuonyesha ndege zake za kwanza zilizotengenezwa nchini humo.