Mnangagwa aahidi kuwalipa wakulima wazungu fidia

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Zimbabwe Ammerson Mnangangwa amesema serikali yake itatoa fidia kwa wakulima wazungu waliopokonya mashamba kipindi cha utawala cha Robert Mugabe