Moto wateketeza jengo la Notre Dame

Your browser doesn’t support HTML5

Jengo maafuru la Notre Dame maarufu kwa watalii na waumini wa thehebu la kikatoliki limeungua moto . Jengo hilo liloko katika jiji la Paris lilikuwa na kumbukumbu nyingi za kihistoria ya thehebu la kikatoliki.