Wafungwa na haki ya kuabudu

Your browser doesn’t support HTML5

Kwa mujibu wa katiba ya Marekani, kila mtu ana haki ya kuabudu dini yake hata wafungwa wakiwa gerezani . Nafasi za mkusanyiko wa sala za dini zimekuwa zikifanyika katika baadhi ya magereza nchini Marekani.