Duniani Leo April 16, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Jengo la Notre Dame maafuru kwa watalii na waumini wa thehebu la kikatoliki liloko mji wa Paris Ufarasa limeungua moto. Wanaharakati waliomtoa madarakani rais wa Sudan Omar Al Bashir wanalitaka baraza la kijeshi livunjwe, huku waandamanaji wakiweka kambi nje ya makao mkuu ya jeshi.