India kufanya uchaguzi mkuu leo

Your browser doesn’t support HTML5

Wapiga kura wa India leo wanachagua maelfu ya wabunge kaitka uchaguzi mkuu nchini humo ambao utaamua kama waziri mkuu Narenda Modi ataendelea kuongoza taifa hilo lenye wapiga kura wengi duniani.