Madaktari kutoka Cuba watekwa na Al-Shabab Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Madaktari wawili raia wa Cuba wametekwa na kundi la kigaidi la Al- Shabab kaskazini mashariki mwa Kenya