Kivu Kaskazini wafanya uchaguzi

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kusubiri kwa muda wananchi wa Kivu Kaskazini wamepata nafasi ya kupiga kura za kuchagua wabunge na magavana.