Waandamana kupewa haki ya matumizi ya dawa

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wanawake wameandamana kupinga hatua ya wizara ya afya kuzuia kutumia dawa ya kupambana na virusi vya ukimwi maafurufu kama DTG, baada ya kuonekana ina madhara.