Duniani Leo April 10, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Neanyahu anaelekea kushinda awamu ya tano ya uongozi katika uchaguzi ulikuwa wa vuta nikuvute. India inajiandaa kufanya uchaguzi mkuu kesho alhamisi katika uchaguzi unaotabiriwa mgumu kwa waziri mkuu Narendra Modi.