Kipindupindu charipuka Yemen

Your browser doesn’t support HTML5

Mlipuko wa kipindupindu katika nchi ya Yeman ambayo imegubikwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe na waathirika wakubwa wa ugonjwa huu ni watoto wadogo wenye umri chini ya miaka mitano.