Duniani Leo April 9, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Paul Kagame amesema mgogoro wa Rwanda na Burundi utasulihishwa na jumuia ya Afrika Mashariki. Kabame alisema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika maadhimisho ya miaka 25 ya mauaji ya halaiki yaliotokwa mwaka 1994. Jumuia ya Afrika Mashariki kuondoa vikwazo vya biashara