Ubelgiji yaiomba radhi DRC

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Ubeligiji Charles Michel ameomba radhi DRC, kutokana na kitendo cha nchi hiyo kuwateka watoto wa kichotara kati ya mwaka 1959 hadi 1962