Duniani Leo April 5, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Ubelgiji Charles Michel ameomba rasmi DRC kwa kuwateka nyara watoto wa kichotara kuotka mwaka 1959 hadi 1962. Wanaharakati na wachambuzi wa mambo wanaendelea kutafakari hutuba ya rais Uhuru Kenyatta .