Maabara maalumu ya uchunguzi wa mchele yafunguliwa Misri
Your browser doesn’t support HTML5
Misri imeanzisha maabara maalumu ya kuchunguza mchele unaogizwa kutoka nje kabla haujapelekwa masokoni. Maabara hii imefanikiwa kuondoa mchele isiyo na viwango kuingia nchini humo.