Duniani Leo April 4, 2019

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa uchukuzi wa Ethiopia amesema marubani wa ndege iliyoanguka mwezi tatu, walifanya kila walichotakiwa kufanya kunusuru ndege hiyo ya Boeing 737 Max 8 lakini hawakufanikiwa. Rais wa DRC aahidi kupambana na rushwa , na kuimarisha usalama na haki za kibinadam.