Takriban asilimia 85 ya makazi holela nchini Tanzania hayajapimwa.
Your browser doesn’t support HTML5
Tanzania inaelezwa kuwa ina takriban asilimia 85 ya makazi holela ambayo hayajapimwa na kutajwa kuwa makazi rasmi. Mwakilishi wa kampuni binafsi ya HUSEA aliieleza VOA .