Miaka minne baada ya shambulizi la Garissa

Your browser doesn’t support HTML5

Miaka minne iliyopita chuo kikuu cha Garissa kilishambuliwa na kundi la Al Shabaab na kusababisha wanafunzi 148 kufariki dunia na wengine walijeruhiwa vibaya.