Mitambo ya kisasa kuanza kutumika kutibu Saratani Tanzania.

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania itakuwa ya kwanza barani Afrika kuanza kutumia mashine za kisasa za kutibu Saratani kwa mionzi zinazojulikana kama Linear Accelerators.