Nchi za kiarabu zamelaani kwa pamoja kauli ya Marekani kutambua Golan Heights

Your browser doesn’t support HTML5

Nchi za kiarabu zimepinga kwa pamoja kauli ya Marekani kutambua milima ya Golan kama himaya rasmi ya Israel. Wakuu wa nchi za kiarabu walikutana kwenye mkutano uliofanyika Tunisia.