Trump atishia kufunga mpaka wa kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Hali ya wasiwasi na taharuki imezuka kwenye mpaka kati ya Marekani na Mexico. Foleni na mtafaruku ulitanda mpakani baada ya sheria zaidi za usalama kuongezwa, na kusababisha foleni kubwa na msongamano wa wasafiri.