Mwalimu Peter Tabich aendelea kupongezwa

Your browser doesn’t support HTML5

Mafanikio ya mwalimu Peter Tabich yanaendelea kuzungumzwa na kusherehekewa sehemu mbalimbali nchini Kenya hususan kwenye shule ya sekondari ya Keriko ambako ndiko anapofundisha.