Juan Guaido awataka wafuasi wao kuendelea kuandamana

Your browser doesn’t support HTML5

Kiongozi wa upinzani, ambaye amejitangaza kuwa rais wa muda wa Venezuela Juan Guaido amewataka wafuasi wake kutokaa kimya na kuendelea kuandamana mpaka watakapoweza kumtoa madarakani rais anayekumbwa na mgogoro wa Nicolas Maduro