Mwalimu aliyeshinda tuzo ya dunia apokelewa kwa shangwe Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Mwalimu wa hisabati wa fizikia kutoka shule ya sekondari ya Keriko Mixed, katika kijiji cha mbali cha Pwani huko Rift Valley nchini Kenya , amepokelewa kwa shangwe na wanafunzi wake.