Theresa May kuachia madaraka mapema zaidi ya alivyopanga awali

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May, ameaambia wabunge kwamba yuko tayari kuondoka madarakani mapema kuliko ilivyopangwa awali, ili wapitishe mpango wake wa Uingereza kujiondoa kwenye nchi za Ulaya