Kenya na Uganda kuboresha uhisiano wa kirafiki na ibiashara

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta alisema kuwa nchi hizo zitaimarisha uhusiano wao kwa kibiashara na kirafiki. Rais Yoweri Museveni amemaliza ziara yake ya siku mbili nchini Kenya