Duniani Leo March 27, 2019.

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi na wadau wa biashara wamejadili jinsi ya kuondoa vizingiti vya kibiashara na kuhakikisha kasi ya maendelo ya kiuchumi katika nchi za Afrika mashariki yanakuwa kwa kasi. Serikali ya Kenya imetangaza kufunga kambi ya Dadaab baadaye mwaka huu.