Umoja wa Ulaya na China kushirikiana kibiashara

Your browser doesn’t support HTML5

Viongozi wa Ulaya na China wamesisitiza kutoa tafauti zao , na kuahidi kufanya kazi katika masuala mbalimbali. Viongozi hao walikutana katika jiji la Paris nchini Ufaransa