Mvua za masika zachelewa kwa baadhi ya mikoa ya Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Mvua za masika zachelewa kwa baadhi ya mikoa ya Tanzania, wataalamu wa hali ya hewa wamesema mwaka huu nchi hiyo itakuwa na kiwango cha chini ya wastani.