Zitto Kabwe apinga madai ya Msajili wa vyama vya siasa Tanzania
Your browser doesn’t support HTML5
Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo nchini Tanzania Zitto Kabwe amekanusha madai ya msajili wa vyama kwamba chama hicho hakijawasilisha ripoti ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha wa 2013/2014.