Mwalimu kutoka Kenya ashinda tuzo ya dunia

Your browser doesn’t support HTML5

Mwalimu mmoj nchini Kenya kutoka kijiji cha ndani ambaye alitumia mapato yake kwa ajili ya kuwasaidia watu maskini ameshinda tuzo ya takriban dola milion moja kwa kazi yake kufundisha katika shule ya serikali ya nchini Kenya.