Shida wanazopitia waKenya wakitafuta Maji

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa asilimia 40 ya watu kote ulimwenguni wanakabiliwa na uhaba wa maji, wakati siku ya maji duniani ikiadhimishwa hivi leo.