Washington Bureau

Your browser doesn’t support HTML5

Watatetezi wanaamini mjadala wa bima ya afya nchini Marekani, utotoa mchango mkubwa wa ushindi kwa chama cha upinzani cha demokratiki kwa uchaguzi mkuu unotarajiwa kufanyika mwakani. Na wanafunzi katika jimbo la California waanzisha soko la hisa .