Mosongo wa mawazo waongezeka nchini Kenya

Your browser doesn’t support HTML5

Baadhi ya wananchi waliokumbwa na maafa baada ya bwawa la maji kubomoka nchini Kenya wamesema kuwa kwa walio wengi wanakabiliwa na matatizo ya msongo wa mawazo.