Kampeni za uchaguzi wa wabunge zaendelea Congo
Your browser doesn’t support HTML5
Kampeni za uchaguzi wa baadhi ya wabunge wa mkoa na taifa zinatarajiwa kufanyika hivi karibuni kwenye maeneo yalikuwa yakikabiliwa na ugonjwa wa ebola wakati uchaguzi mkuu wa nchi hiyo ulipofanyika awali.