Tabia za Sokwe zinabadilishwa na wanadamu

Your browser doesn’t support HTML5

Watafiti wa maswala ya wanyama na tabia wanasema binaadamu wamekuwa tishio kubwa kwa wanyama aina ya Sokwe kubadilisha desturi na tabia za wanyama hao.