Wa-Algeria washerehekea baada Bouteflika atangaza hatogombea Urais tena

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya mvutano wa muda mrefu wa kuwania madaraka, wa-Algeria sasa wanasherehekea baada ya kiongozi wao wa muda mrefu Abdelaziz Bouteflika kutangaza kwamba hatogombea tena muhula wa tano wa uongozi.