Dhamana ya Mbowe na Matiko yasikilizwa
Your browser doesn’t support HTML5
Mahakama Kuu kanda ya Dar es salaam leo imesikiliza shauri la kuomba mahakama hiyo kuwarudishia Dhamana Mwenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania Chadema Freeman Mbowe pamoja na mbunge wa Chama hiko Esther Matiko.