Maandalizi kuelekea uchaguzi mwaka ujao wa Tanzania yameanza

Your browser doesn’t support HTML5

Maandalizi kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka ujao 2020 yameanza.Tume ya taifa ya uchaguzi nchini humo imeanza mchakato wa kufanya maboresho ya kanuni za uchaguzi za mwaka 2008