Wanafunzi Algeria waendelea kuandamana Rais Bouteflika asigombanie mhula wa tano

Your browser doesn’t support HTML5

Maelfu ya wanafunzi wameendelea kuandamana hii leo katika mji mkuu wa Algeria, Algiers, kupinga dhamira ya rais anayeugua Abdelaziz Bouteflika, kugombea mhula wa tano madarakani. Wanafunzi