Tamasha la filamu la FESPACO nchini Burkina Faso limemalizika

Your browser doesn’t support HTML5

Tamasha la filamu la FESPACO nchini Burkina Faso limemalizika wikiend huku filamu ya Mercy of the Jungle kutoka Rwanda ikiibuka kidedea kwa tuzo kubwa kabisa.