Takriban watu 22 wamekufa baada ya kimbunga kikali Marekani

Your browser doesn’t support HTML5

Takriban watu 22 wamekufa baada ya kimbunga kikali kupiga jimbo la kusini la Alabama Jumapili. Idadi ya vifo inaweza kuongezeka wakati kundi la uokozi likiendelea kutafuta mabaki.