Hali imerudi tulivu katika Mji wa Goma DRC baada ya watu 7 kuuliwa

Your browser doesn’t support HTML5

Hali imerudi Tulivu katika Mji wa Goma baada ya watu 7 kuuliwa kwa risasi na wengine kutekwa jana jioni huko Goma na kupelekea raia wenye hasira kufunga barabara kwa mawe wakiomba serikali kuimarisha usalama.