Zulia Jekundu Episode 215

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii katika Zulia Jekundu Mkamiti Kibayasi anaangalia kifo cha Ruge Mutahaba nchini Tanzania. Maombolezo ya Dorothy Masuka na pia tamasha la filamu la FESPACO.