Washukiwa wanamgambo wa ISIS walijisalimisha kwa majeshi wa SDF

Your browser doesn’t support HTML5

Washukiwa wanamgambo wa kundi la Islamic State na familia zao walijisalimisha kwa majeshi ya Syrian Democratic Forces – SDF ambayo yanaungwa mkono na Mekani karibu na mpaka wa Iraq kwenye kijiji cha mpakani cha Baghouz jana Alhamisi.